Department of Humanities
Permanent URI for this collectionhttps://repository.chuka.ac.ke/handle/chuka/463
Browse
Recent Submissions
Item Koja la Taaluma za Insia(Karljamer Publishers Limited, 2019) Athumani Salum Ponera & Zuhura A. Badru ( Wahariri)Utangulizi Ardhi ni mojawapo ya rasilimali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Suala la ardhi ulimwenguni, na hasa nchini Kenya, limekuwa nyeti na kuibua mijadala ya kijamii na kiakademia tangu enzi za ukoloni. Vita vya ukombozi dhidi ya utawala dhalimu wa ukoloni katika mataifa mengi barani Afrika vilichochewa na msukumo wa utwaaji wa ardhi kutoka kwa wakoloni. Fasihi ni mojawapo ya nyenzo inayoweza kuchangia katika kuangazia matatizo yanayoikumba jamii yoyote iwayo. Kazi hii inachunguza jinsi ambavyo suala la mizozo ya ardhi limesawiriwa katika riwaya ya Kiswahili kwa kurejelea riwaya ya Kufa Kuzikana (Walibora, 2003). Mjadala unaongozwa na nadharia ya Baadaukoloni ambayo inahusishwa na kazi za Cesaire (1950), Fanon (1961), Said (1978) na Bhabha (1994). Aidha, tunafafanua jinsi riwaya ya Kiswahili inavyodhihirisha athari za ukoloni katika suala la mizozo ya ardhi pamoja na kuonesha msingi ambao jamii ya Kenya imejengeka kuhusu athari zinazotokana na umiliki wa ardhi. Mjadala unafanywa kwa kutumia misingi ya nadharia ya baadaukoloni.Item Fasihi na Masuala Ibuka: Kwa Heshima ya Marehemu Prof. Ken Walibora(RealText Publishers, 2025) Mosol Kandagor, John Kobia, Iribe Mwangi, Leonard Chacha Mwita, and Fred Simiyu Wanjala (Wahariri)Kuwepo kwa mshikamano wa kitaifa husaidia katika kukuza ushirikiano wa kimaadili na kuandaa nafasi za kimaisha kwa kila mtu katika taifa lolote lile. Nchini Kenya, kumekuwa na mizozo mingi kwa misingi ya kikabila ambayo kwa muda mrefu imetishia kuvuruga mshikamano wa kitaifa. Fasihi ni chombo ambacho kinaweza kutumiwa kujenga msingi wa utu, usawa, upendo na usalama wa watu katika jamii. Makala hii inakusudia kuangazia jinsi ambavyo mwandishi Ken Walibora amesawiri mshikamano wa kitaifa, kuonyesha chanzo cha mizozo katika jamii, juhudi za kuleta mshikamano na changamoto za kuleta mshikamano huo. Makala hii itaongozwa na nadharia ya uhalisia iliyoasisiwa katika Karne ya 19 na E. Goffman. Kwa mjibu wa nadharia hii, mwandishi husukumwa na nia ya kuusawiri uhalisia katika ukamilifu na wakati wake maalum. Riwaya ya Kufa Kuzikana (Walibora, 2003) iliteuliwa kimakusudi kwa kuwa maudhui yake makuu yanahusiana moja kwa moja na mada ya makala hii. Kazi hii ni muhimu katika kuthibitisha kuwa fasihi ya Kiswahili inatekeleza dhima muhimu katika kuhamasisha jamii kuhusu haja ya kuwepo kwa mshikamano wa kitaifa.Item PSYC 124: PHYSIOLOGICAL PSYCHOLOGY(Chuka University, 2023-04-19) Chuka UniversityItem RELI 470: CONTEMPORARY RELIGIOUS THOUGH(Chuka University, 2023-12-19) Chuka UniversityItem RELI 231: THEOLOGY OF THE OLD TESTAMENT(Chuka University, 2023-12-19) Chuka UniversityItem RELI 221: COMPARATIVE RELIGION(Chuka University, 2023-12-19) Chuka UniversityItem RELI 161: RELIGION AND ETHICS IN SOCIETY(Chuka University, 2023-12-20) Chuka UniversityItem PHIL 104: PHILOSOPHY AND SOCIETY(Chuka University, 2023-12-20) Chuka UniversityItem LITT 405: ADVANCED CREATIVE WRITING(Chuka University, 2023-12-19) Chuka UniversityItem LITT 211: CHILDREN’S LITERATURE(Chuka University, 2023-12-19) Chuka UniversityItem RELI 862: ECO-THEOLOGY(Chuka University, 2024-12-19) Chuka UniversityItem RELI 842: RITES OF PASSAGE IN AFRICA(Chuka University, 2024-12-19) Chuka UniversityItem RELI 475: CHRISTIAN THEOLOGY IN AFRICA(Chuka University, 2024-12-19)Item RELI 470: CONTEMPORARY RELIGIOUS THOUGHT(Chuka University, 2024-12-19) Chuka UniversityItem RELI 433: OLD TESTAMENT HERMENEUTICS(Chuka University, 2024-12-16) Chuka UniversityItem RELI 372: RELIGION AND SCIENCE(Chuka University, 2024-12-16) Chuka UniversityItem RELI 362: RELIGION AND CONTEMPORARY ETHICAL ISSUES(Chuka University, 2024-12-20) Chuka UniversityItem RELI 340: CHURCH HISTORY I(Chuka University, 2024-12-16) Chuka UniversityItem RELI 161: RELIGION AND ETHICS IN SOCIETY(Chuka University, 2024-12-23) Chuka UniversityItem RELI 160: INTRODUCTION TO CHRISTIAN ETHICAL THINKING(Chuka University, 2024-12-10) Chuka University
