Koja la Taaluma za Insia
| dc.contributor.author | Athumani Salum Ponera & Zuhura A. Badru ( Wahariri) | |
| dc.date.accessioned | 2026-10-07T07:47:08Z | |
| dc.date.available | 2026-10-07T07:47:08Z | |
| dc.date.issued | 2019 | |
| dc.description.abstract | Utangulizi Ardhi ni mojawapo ya rasilimali muhimu katika maisha ya mwanadamu. Suala la ardhi ulimwenguni, na hasa nchini Kenya, limekuwa nyeti na kuibua mijadala ya kijamii na kiakademia tangu enzi za ukoloni. Vita vya ukombozi dhidi ya utawala dhalimu wa ukoloni katika mataifa mengi barani Afrika vilichochewa na msukumo wa utwaaji wa ardhi kutoka kwa wakoloni. Fasihi ni mojawapo ya nyenzo inayoweza kuchangia katika kuangazia matatizo yanayoikumba jamii yoyote iwayo. Kazi hii inachunguza jinsi ambavyo suala la mizozo ya ardhi limesawiriwa katika riwaya ya Kiswahili kwa kurejelea riwaya ya Kufa Kuzikana (Walibora, 2003). Mjadala unaongozwa na nadharia ya Baadaukoloni ambayo inahusishwa na kazi za Cesaire (1950), Fanon (1961), Said (1978) na Bhabha (1994). Aidha, tunafafanua jinsi riwaya ya Kiswahili inavyodhihirisha athari za ukoloni katika suala la mizozo ya ardhi pamoja na kuonesha msingi ambao jamii ya Kenya imejengeka kuhusu athari zinazotokana na umiliki wa ardhi. Mjadala unafanywa kwa kutumia misingi ya nadharia ya baadaukoloni. | |
| dc.identifier.citation | Ponera, A. S., & Badru, Z. A. (Eds.). (2019). Koja la taaluma za insia: Kwa heshima ya Profesa Joshua S. Madumulla. Karljamer Publishers Limited. | |
| dc.identifier.isbn | 978-9987-03-121-4 | |
| dc.identifier.uri | https://repository.chuka.ac.ke/handle/123456789/23920 | |
| dc.language.iso | en | |
| dc.publisher | Karljamer Publishers Limited | |
| dc.subject | Taaluma za insia Kiswahili Fasihi ya Kiswahili Isimu Lugha ya Kiswahili Utafiti Nadharia za fasihi Uhakiki wa fasihi Fasihi na jamii Utamaduni Isimu-Matini Humanities Swahili literature Swahili linguistics Literary studies | |
| dc.title | Koja la Taaluma za Insia | |
| dc.title.alternative | Kwa Heshima ya Profesa Joshua S. Madumulla | |
| dc.type | Book |
