Browsing Language and Linguistics by Issue Date
Now showing items 1-13 of 13
-
Unyambulishaji wa Vitenzi Katika Kigĩchũgũ
(Chuka University, 2019-09)Unyambulishaji wa vitenzi ni mojawapo ya masuala yanayoshughulikiwa katika taaluma ya mofolojia katika lugha nyingi za Kiafrika. Mofolojia ni tawi la isimu linaloshughulikia umbo la ndani la neno ambalo hujishughulisha ... -
Muundo wa Sentensi ya Kiigembe: Mtazamo wa Eksibaa
(Chuka University, 2019-09)Sintaksia ni taaluma inayojihusisha na uchambuzi wa miundo ya sentensi. Utafiti huu ulichanganua muundo wa sentensi ya Kîîgembe katika taaluma ya sintaksia. Kati ya vipashio vinavyotumika katika taaluma ya kisintaksia ni ... -
Masculinity in Margaret Ogola’s The River and The Source and I Swear by Apollo
(Chuka University, 2019-09)There has been extensive literary research on gender in Kenya and Africa in general. A lot of these literary scholarships has tended to ignore male characters by concentrating on highlighting the woman and her struggle for ... -
MIKAKATI YA KUAFIKIA ULINGANIFU WA MAANA KATIKA TAFSIRI YA KIFASIHI: TATHMINI YA TAFSIRI ZA KAZI MBILI TEULE ZA BARBARA KIMENYE
(Chuka University, 2019-09)Ulinganifu, usahihi pamoja na uwazi ni vipengee muhimu vya kuchunguzia kazi za fasihi tafsiri. Utafiti huu ulilenga kutafiti ulinganifu katika mtiririko wa kazi mbili teule za Kimenye (1968): Moses in Trouble na Moses and ... -
CRIMINALITY AND SOCIAL SET- UPS IN POPULAR LITERATURE: AN ANALYSIS OF JOHN KIGGIA’S LIFE AND TIMES OF A BANK ROBBER AND PRISON IS NOT A HOLIDAY CAMP.
(Chuka University, 2020-12)This study is an attempt to use discourses of popular literature in giving an insightful probe into the relationship between criminality and social set-ups as presented by John Kiggia Kimani in Life and Times of a Bank ... -
USIMULIZI KATIKA RIWAYA TRILOJIA YA KISWAHILI: MFANO WA SIRI SIRINI
(Chuka University, 2021-11)This research discusses narration in Siri Sirini trilogy authored by Rocha Chimerah (2013, 2014). Siri Sirini trilogy is written in three series: Siri Sirini 1, Mshairi na Mfungwa (2013), Siri Sirini 2, Mpiga Mbizi Kilindini ... -
DIDACTICS OF ORALITY AND ITS STYLE IN ALTERNATIVE RITES OF PASSAGE AMONG THE IGEMBE PEOPLE OF MERU, KENYA
(Chuka University, 2021-11)This study set out to find out the relevance of the messages and styles in oral songs, narratives, and proverbs incorporated in Alternative Rites of Passage (ARP) ceremonies as a tool for communication among the Igembe ... -
UCHANGANUZI MAKINIFU WA DISKOSI KATIKA VIKATUNI VYA SHUJAAZ
(Chuka University, 2021-11)Vikatuni vina wajibu muhimu katika aushi ya watoto na vijana ulimwenguni. Huenda ndio sababu Karne ya 21 imeshuhudia ongezeko la tafiti kuhusu vikatuni. Utafiti huu ni Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi katika Vikatuni vya ... -
MABADILIKO YA HADITHI FUPI TEULE ZA KISWAHILI: MKABALA WA USASALEO
(Chuka University, 2022-09)The aim of this research was to investigate how some selected short stories have changed due to postmodernism. It reflected on the effects of postmodernism on the original Kiswahili short story. Because the changes due to ... -
MOTIFU YA SIRI KATIKA KAZI TEULE ZA NATHARI ZA FASIHI YA KISWAHILI
(Chuka University, 2022-09)ABSTRACT Motif is an important aspect in literature. Motif is an element that involves the repetition of a certain idea or a theme in literal works like the novel, play, poems and oral literature. This study aimed at ... -
EFFECTS OF PEOPLE-TECHNOLOGY INTERACTIONS ON SERVICE INNOVATION IN STAR RATED HOTELS IN NYERI COUNTY
(Chuka University, 2022-09)Recently hotels have incorporated technologies to enhance profitability realized through efficiency in operation, reduced cost of production and improved service quality. Developed countries have integrated people and ... -
USAWIRI WA DAWA ZA KULEVYA KATIKA MATINI TEULE ZA FASISHI YA WATOTO YA KISWAHILI
(Chuka University, 2022-09)This research sought to analyse three selected Kiswahili literary texts meant for children with an aim of showing how they portray drug abuse in children’s literature. The objectives of the research were to identify the ...