Mkasa wa Shujaa Liyongo

dc.contributor.authorMatundura, Bitugi
dc.date.accessioned2019-11-25T12:13:20Z
dc.date.available2019-11-25T12:13:20Z
dc.date.issued2001
dc.description.abstractMkasa wa Shujaa Liyongo ni hadithi inayomulika kiny’ang’anyiro cha uongozi kati ya ndugu wawili: Liyongo na Daudi Mringwari. Baba yao Fumo anapofariki kutokana na ugonjwa, wanaanza kung’ang’ania uongozi wa jimbo la shanga. Mvutano huu unaishia katika kifo cha Liyongo mikononi mwa motto wake moni. Liyongo Fumo aliishi karne nyingi zilizopita katika pwani ya Kenya na alikuwa mshairi maaarufu. Mvutano unaosimuliwa katika hadithi hii ulitokea, ingawa pengine kwa njia tofauti kidogo. Katika kuuhadithia, mwandishi ameupa mwamko mpya wa kisanaa. Mwandishi wa hadithi hii, Bitugi Matundura, alifuzu somo la Kiswahili katika chuo kikuu cha Moi mwaka 1999.Ameandika hadithi nyingi za watoto, hasa katika gazeti laTaifa Leo.en_US
dc.identifier.citationMatundura, B. (2001). Mkasa wa Shujaa Liyongo. Nairobi: Phoenixen_US
dc.identifier.issn9966472274
dc.identifier.urihttp://repository.chuka.ac.ke/handle/chuka/465
dc.language.isoenen_US
dc.publisherPhoenixen_US
dc.titleMkasa wa Shujaa Liyongoen_US
dc.typeBooken_US

Files

Original bundle

Now showing 1 - 2 of 2
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mkasa wa Shujaa Liyongo.pdf
Size:
63.95 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mkasa wa Shujaa Liyongo.pdf
Size:
63.95 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Full text

License bundle

Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: