Browsing by Author "Mukuthuria, M."
Now showing 1 - 2 of 2
- Results Per Page
- Sort Options
Item Error Analysis in Mass Media in Kenya: a case study of radio bulletins from Kenya Broadcasting Corporation and Radio Citizen.(2016-02) Mugambi, A.; Mukuthuria, M.; Kobia, J. M.This is a metaphorical analysis of domestic animals in selected Swahili proverbs with a focus on chicken metaphor based on their source domains. The paper examines the socio-cultural and economic background that shapes the Swahili proverbs and their underlining meanings inherent in them. The paper reveals that the Swahili proverbs are used metaphorically as a repository of traditional wisdom of the Swahili people and a vehicle to articulate their worldview.Item Mwingilianomatini katika Tamthilia za Kiswahili: Mashetani na Kijiba cha Moyo.(California Institute of Technology, 2015) M’Ngaruthi, T. K.; Kobia, J. M.; Mukuthuria, M.; Ngesa, Ambrose K.; Matundura, Enock; Kobia, JohnTamthilia ya Kiswahili imedhihirisha, kwa njia moja au nyingine, uhusiano wa kimwingilianomatini. Makala haya yanadhamiria kuchunguza viwango na aina za mwingilianomatini baina ya tamthilia mbili za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Mashetani (Hussein 1971) na Kijiba cha Moyo (Arege 2009). Tathmini hii inaongozwa na nadharia ya mwingilanomatini. Tumeteua na kuhakiki tamthilia hizi kwa misingi kwamba, kwa muda mrefu, Ebrahim Hussein ameaminika kuwa mmojawapo wa watunzi bora wa tamthilia ya Kiswahili katika eneo la Afrika Mashariki. Wahakiki wa fasihi wanaelekea kukubaliana kwamba Ebrahim Hussein ameathiri watunzi wengi wa baadaye wa tamthilia kimtindo, kimaudhui na usawiri wahusika. Lengo la makala haya ni kujaribu kuonesha jinsi tamthilia za Mashetani na Kijiba cha Moyo zinavyofanana kwa kuchunguza viwango vya mwingilianomatini baina ya tamthilia hizo kwa kurejelea, motifu, maudhui, matumizi ya lugha, na wahusika. Je, ni kwa kiwango gani mtunzi wa Kijiba cha Moyo ameathiriwa na mtunzi wa Mashetani? Je, amemnukuu, kudondoa au kumwiga mtangulizi wake kwa kiwango gani?