• Login
    View Item 
    •   Repository Home
    • Books/Book Chapters/Book Reviews
    • Faculty of Humanities and Social Sciences
    • Department of Humanities
    • View Item
    •   Repository Home
    • Books/Book Chapters/Book Reviews
    • Faculty of Humanities and Social Sciences
    • Department of Humanities
    • View Item
    JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

    Mkasa wa Shujaa Liyongo

    Thumbnail
    View/Open
    Mkasa wa Shujaa Liyongo.pdf (63.95Kb)
    Full text (63.95Kb)
    Date
    2001
    Author
    Matundura, Bitugi
    Metadata
    Show full item record
    Abstract
    Mkasa wa Shujaa Liyongo ni hadithi inayomulika kiny’ang’anyiro cha uongozi kati ya ndugu wawili: Liyongo na Daudi Mringwari. Baba yao Fumo anapofariki kutokana na ugonjwa, wanaanza kung’ang’ania uongozi wa jimbo la shanga. Mvutano huu unaishia katika kifo cha Liyongo mikononi mwa motto wake moni. Liyongo Fumo aliishi karne nyingi zilizopita katika pwani ya Kenya na alikuwa mshairi maaarufu. Mvutano unaosimuliwa katika hadithi hii ulitokea, ingawa pengine kwa njia tofauti kidogo. Katika kuuhadithia, mwandishi ameupa mwamko mpya wa kisanaa. Mwandishi wa hadithi hii, Bitugi Matundura, alifuzu somo la Kiswahili katika chuo kikuu cha Moi mwaka 1999.Ameandika hadithi nyingi za watoto, hasa katika gazeti laTaifa Leo.
    URI
    http://repository.chuka.ac.ke/handle/chuka/465
    Collections
    • Department of Humanities [2]

    Copyright © Chuka University | Electronic Resources | Library Website
    Contact Us | Send Feedback
     

     

    Browse

    All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

    My Account

    Login

    Copyright © Chuka University | Electronic Resources | Library Website
    Contact Us | Send Feedback