Search
Now showing items 1-1 of 1
Muundo wa Sentensi ya Kiigembe: Mtazamo wa Eksibaa
(Chuka University, 2019-09)
Sintaksia ni taaluma inayojihusisha na uchambuzi wa miundo ya sentensi. Utafiti huu ulichanganua muundo wa sentensi ya Kîîgembe katika taaluma ya sintaksia. Kati ya vipashio vinavyotumika katika taaluma ya kisintaksia ni ...