Show simple item record

dc.contributor.authorM’Ngaruthi, T. K.
dc.contributor.authorKobia, J. M.
dc.contributor.authorMukuthuria, M.
dc.contributor.authorNgesa, Ambrose K.
dc.contributor.authorMatundura, Enock
dc.contributor.authorKobia, John
dc.date.accessioned2019-12-09T11:10:36Z
dc.date.available2019-12-09T11:10:36Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.citationSwahili Forum. 22: 42-71en_US
dc.identifier.issn16142373
dc.identifier.urihttps://www.library.caltech.edu/eds/detail?db=edb&an=114241513&isbn=16142373
dc.identifier.urihttp://repository.chuka.ac.ke/handle/chuka/531
dc.description.abstractTamthilia ya Kiswahili imedhihirisha, kwa njia moja au nyingine, uhusiano wa kimwingilianomatini. Makala haya yanadhamiria kuchunguza viwango na aina za mwingilianomatini baina ya tamthilia mbili za Kiswahili. Tamthilia hizi ni Mashetani (Hussein 1971) na Kijiba cha Moyo (Arege 2009). Tathmini hii inaongozwa na nadharia ya mwingilanomatini. Tumeteua na kuhakiki tamthilia hizi kwa misingi kwamba, kwa muda mrefu, Ebrahim Hussein ameaminika kuwa mmojawapo wa watunzi bora wa tamthilia ya Kiswahili katika eneo la Afrika Mashariki. Wahakiki wa fasihi wanaelekea kukubaliana kwamba Ebrahim Hussein ameathiri watunzi wengi wa baadaye wa tamthilia kimtindo, kimaudhui na usawiri wahusika. Lengo la makala haya ni kujaribu kuonesha jinsi tamthilia za Mashetani na Kijiba cha Moyo zinavyofanana kwa kuchunguza viwango vya mwingilianomatini baina ya tamthilia hizo kwa kurejelea, motifu, maudhui, matumizi ya lugha, na wahusika. Je, ni kwa kiwango gani mtunzi wa Kijiba cha Moyo ameathiriwa na mtunzi wa Mashetani? Je, amemnukuu, kudondoa au kumwiga mtangulizi wake kwa kiwango gani?en_US
dc.language.isootheren_US
dc.publisherCalifornia Institute of Technologyen_US
dc.titleMwingilianomatini katika Tamthilia za Kiswahili: Mashetani na Kijiba cha Moyo.en_US
dc.typeArticleen_US
dc.typeBooken_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record