Search
Now showing items 1-1 of 1
Mkasa wa Shujaa Liyongo
(Phoenix, 2001)
Mkasa wa Shujaa Liyongo ni hadithi inayomulika kiny’ang’anyiro cha uongozi kati ya ndugu wawili: Liyongo na Daudi Mringwari. Baba yao Fumo anapofariki kutokana na ugonjwa, wanaanza kung’ang’ania uongozi wa jimbo la shanga. ...